Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
-
- #841
Hata vyumba viwili unajenga?( Wewe kama wewe sio kibarua wako) Mana naona kazi zako za kibabe zaidi ,Kazi ziendelee
Hauna kazi mpya mpaka umeamua kurudia za zamani
Kama hii Bei game kujenga??Kazi ziendelee
Nikiona mchoro na plot inapojengwa ndio naweza jua gharama halisi mkuu.Mkuu nyumba ya vyumba 7,sebule kubwa,dining, store na 3 other rooms (hidden roof) Bei gani kujenga??
Au mkuu nioneshe ramani ya hidden roof -kuanzia vyumba 5 vya kulala.Nikiona mchoro na plot inapojengwa ndio naweza jua gharama halisi mkuu.
Kama unaweza nialike nione mchoro na eneo mkuu.
Karibu sana