JUMA CHIDEO
Member
- Feb 23, 2019
- 26
- 3
Mkuu chagua sofa lolote hapo nakuambia bei hatutashindwana bei MkuuWeka bei yako
Hâta dar mkuu huwa naenda kufanyaMorogoro! Mbona nimeona daladala ya buza ila kazi nzuri
Mkuu usiogope hapo kuwa guru hatutashindwana beiMkuu we ungeweka bei kwa kila sofa uliyopost hapo lingekuwa jema maana bei ndio itamfanya mteja ajipime ubavu wa kuuliza na baadae kukufuata kwa mazungumzo zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ya pili,ya blue bei gani?
Hongera mkuu kazi yako iko vyema hamia daslam kabisa kuna fursa nyingi