Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Yule jamaa ni ndezi saana ice boyNi muendelezo uleeeee wa yule anaifanana na 2pac vijana simameni wenyewe kama nyie sio utegemee tawilee ikuinue penye game
Aliishia IringaHivi yule dogo aliyekuwa anafanana na Diamond aliishiaga wapi?
ntwara watu kama hamonize wapo kibao tu...
msen.ge tu huyo jamaa,anataka kutembelea nyota ya mwenzake.hii ndio bongo taifa lenye mambo kibao kwenye udongo.Kutokana na kufanana huko amesema amejiingiza kwenye muziki na inamsaidia, hata wasichana mtaani anawang'oa sana kwa sababu ya mfanano huo na kuna label ya muziki imemchukua kutokana na mfanano wake