Kutana na ‘Jeshi la Machinga’ lisilo na silaha linavyoitetemesha Serikali hadi inajificha uvunguni

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana Jf,

Ukisikia kila mkoa una majeshi ya serikali, lakini jeshi butu lisilo na siraha wala chombo chochote hatarishi, jeshi la machinga lilijijengea nguvu za kutisha kiasi kwamba linaogopeka sana.

Jeshi hili nimeshuhudia pale Kariakoo wakiondoa magari yanayoegeshwa kwa ajili ya parking system watumishi wakitishiwa na wateja wa maduka wakiondoa garibaldi nao. Ukikaidi kuondoa basi kama tairi haitatatobolewa basi utakuta hakuna upepo.

Jeshi la machinga limethubutu kuifanya mwendokasi akifika maeneo yao atembee mwendo wa kinyoga sana huku akiwakwepa kwa umahili. Tanesco wanashangaa nguo kupangwa kwenye transforma

Tanroads hasa ndio kabisa nguzo za kuongozea taa zinazibwa.

Hivi hawa wanaodaiwa ndio wapiga kura hivi ndio walipa kodi wakubwa kiasi hicho cha kupendelewa?

Screenshot_20210917-132710_Lite.jpg
 
Vijana wasomi na wenye akili wameunganishwa ktk chama cha machinga yani hakuna rangi serikali itaacha kuiona yani hawa sio wakukanyaga amini usiamini hawa sio akina Mbowe tena jamaa wakifanya mchezo nao wanaweza weka Rais.. wakati serikali ina haha na Mbowe kuna kitisho cha machinga kuliko hata vyama vya siasa. Yani hii ni nje ntinti na ndani ntinti....
 
Wamachinga wanapewa super power kuliko intellectuals? Kioja sana hiki...Graduates almost 250,000 wanamwagwa mtaani kila mwaka sidhani hii number ni ya kupuuzwa!
Nchi ya kishamba sana, viongozi wanawaza uchaguzi kuliko maendeleo na taratibu aisee,eti mtu machinga anaondoa gari za kulipia 3500 kwa siku anaweka machungwa au miwa anaacha uchafu ukazolewe kwa hela
 
Usi wa overrate kihivyo. Hao ni asset ya wanasiasa. Wanaogopa kuvurunda kura zitapita kushoto.

Ila ukiweka siasa pembeni serikal inaweza kuwa move chap na hakuna atakae bisha
Siku hizi Wala kura zao hazi count.
CCM wanahakikisha mpinzani harudishi fomu, akiweza kurudishwa wanamuibia kura, au wanaleta kura kwenye sanduku na kuwarubuni wasimamizi.
Rejea uchaguzi wa wenyeviti
 
Waondoke au waondolewe within set deadlines na wafuate sheria hata kama wao ndio mtaji mkuu wa kura kwa vyama vyote. Kuwabembeleza ni kuwavimbisha vichwa na kuwa na double standard. Hata hivyo siku hizi hakuna uchaguzi kuna ukwapuaji wa kura tu.
 
Ngoma nzito hii. Kama serikali inataka kufanikiwa kwenye hili swala kitu cha kwanza ikubali kwanza hili tatizo ni wao wenyewe walilileta
 
Siku hizi Wala kura zao hazi count.
CCM wanahakikisha mpinzani harudishi fomu, akiweza kurudishwa wanamuibia kura, au wanaleta kura kwenye sanduku na kuwarubuni wasimamizi.
Rejea uchaguzi wa wenyeviti

Nguvu zao ziko kwenye kuzomea. Wakikuzomea kura zikitangazwa haziswihi. Wakushangilie ndio itally na kura zako zitakazo tangazwa wakati wa ushindi.
 
Serikali inajua "never pick a fight with someone with nothing to lose". Machinga wengi hayo ndiyo maisha yao, hawana pengine pa kutokea. Ni rahisi sana watu wa namna hii kuchafua hali ya hewa. Siyo sawa na vijana wengine ambao wanaweza kubaki kwa wazazi au ndugu kujisitiri kama maisha bado hayajakaa sawa. Lakini hata hao vijana wengine wenye wazazi wanaoweza kuwasaidia kama nao wakiona hawana future basi na wao wanaweza kuona "they have nothing to lose". Na wao wanaweza kuleta matatitzo huko mbele.
 
Wana Jf,

Ukisikia kila mkoa una majeshi ya serikali, lakini jeshi butu lisilo na siraha wala chombo chochote hatarishi, jeshi la machinga lilijijengea nguvu za kutisha kiasi kwamba linaogopeka sana.

Jeshi hili nimeShuhudia pale kaliakoo wakiondoa magari yanayoegeshwa kwa ajiri ya parking system watumishi wakitishiwa na wateja wa maduka wakiondoa garibaldi nao. Ukikaidi kuondoa basi kama tairi haitatatobolewa basi utakuta hakuna upepo.

Jeshi la machinga limethubutu kuifanya mwendokasi akifika maeneo yao atembee mwendo wa kinyoga sana huku akiwakwepa kwa umahili. Tanesco wanashangaa nguo kupangwa kwenye transforma

Tanroads hasa ndio kabisa nguzo za kuongozea taa zinazibwa.

Hivi hawa wanaodaiwa ndio wapiga kura hivi ndio walipa kodiak wakubwa kiasi hicho cha kupendelewa?
Hakika machinga na kina mama wauza mboga mboga na matunda kwenye mabeseni na pembezoni mwa barabara wameishika sharubu serikali

Siku hizi hata hawasubiri jioni, miji mingine saa tano mchana unakuta barabara hazipitiki, parking zimezibwa, watembea kwa miguu ndo hawana hata pa kukanyga

Ole wake mgambo awaguse! Mkurugenzi hana kazi!

DC wa Morogoro yeye ameamua kukopa kwa ajili ya kuwajengea mabanda, halafu Cha ajabu mabanda yamejengwa palipoandaliwa Kama parking ya soko kuu la Chief kingalu.

Yaani ndani ya soko maduka na vioski viko empty halafu DC anakopa pesa kuwajengea mabanda nje ya soko. Kwani wangepewa vibanda humo ndani hawawezi fanya kazi!? Soko limejengwa likaliwe na mijusi na popo au nini!!
 
Ngoma nzito hii. Kama serikali inataka kufanikiwa kwenye hili swala kitu cha kwanza ikubali kwanza hili tatizo ni wao wenyewe walilileta
Nenda kaweke viti vyako hata kwenye korido ya mkuu wa Wilaya😆😆😆😆
 
Wana Jf,

Ukisikia kila mkoa una majeshi ya serikali, lakini jeshi butu lisilo na siraha wala chombo chochote hatarishi, jeshi la machinga lilijijengea nguvu za kutisha kiasi kwamba linaogopeka sana.

Jeshi hili nimeShuhudia pale kaliakoo wakiondoa magari yanayoegeshwa kwa ajiri ya parking system watumishi wakitishiwa na wateja wa maduka wakiondoa garibaldi nao. Ukikaidi kuondoa basi kama tairi haitatatobolewa basi utakuta hakuna upepo.

Jeshi la machinga limethubutu kuifanya mwendokasi akifika maeneo yao atembee mwendo wa kinyoga sana huku akiwakwepa kwa umahili. Tanesco wanashangaa nguo kupangwa kwenye transforma

Tanroads hasa ndio kabisa nguzo za kuongozea taa zinazibwa.

Hivi hawa wanaodaiwa ndio wapiga kura hivi ndio walipa kodiak wakubwa kiasi hicho cha kupendelewa?
MACHINGA ni Tuliwalea Wenyewe ili Watupigie KURA Leo Tunataka Tuwaondoe Angalia BIDHAA zao
1631644988086.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wana Jf,

Ukisikia kila mkoa una majeshi ya serikali, lakini jeshi butu lisilo na siraha wala chombo chochote hatarishi, jeshi la machinga lilijijengea nguvu za kutisha kiasi kwamba linaogopeka sana.
Jeshi la machinga limethubutu kuifanya mwendokasi akifika maeneo yao atembee mwendo wa kinyoga sana huku akiwakwepa kwa umahili. Tanesco wanashangaa nguo kupangwa kwenye transforma...MTOTO UMLEAVYO...!!!
 
Usi wa overrate kihivyo. Hao ni asset ya wanasiasa. Wanaogopa kuvurunda kura zitapita kushoto.

Ila ukiweka siasa pembeni serikal inaweza kuwa move chap na hakuna atakae bisha
Na huo ndio msingi wa tatizo
 
Wana Jf,

Ukisikia kila mkoa una majeshi ya serikali, lakini jeshi butu lisilo na siraha wala chombo chochote hatarishi, jeshi la machinga lilijijengea nguvu za kutisha kiasi kwamba linaogopeka sana.

Jeshi hili nimeShuhudia pale kaliakoo wakiondoa magari yanayoegeshwa kwa ajiri ya parking system watumishi wakitishiwa na wateja wa maduka wakiondoa garibaldi nao. Ukikaidi kuondoa basi kama tairi haitatatobolewa basi utakuta hakuna upepo.

Jeshi la machinga limethubutu kuifanya mwendokasi akifika maeneo yao atembee mwendo wa kinyoga sana huku akiwakwepa kwa umahili. Tanesco wanashangaa nguo kupangwa kwenye transforma

Tanroads hasa ndio kabisa nguzo za kuongozea taa zinazibwa.

Hivi hawa wanaodaiwa ndio wapiga kura hivi ndio walipa kodiak wakubwa kiasi hicho cha kupendelewa?
Machinga Tanzania wanadhani umachinga nikipaji,

👇🏿
 
Back
Top Bottom