Kutana na ‘Jeshi la Machinga’ lisilo na silaha linavyoitetemesha Serikali hadi inajificha uvunguni

Nimatokeo ya Sera mbovu 'ineffective policies"
 
Uchungu walionao wafanyabiashara tunatengeneza bomu la kukosa kodi. Kuwepa kodi rukusa kwa machinga lakini kwa wafanyabiashara halali mateso
 
Kweli kabisa uchafuzi wa ujenzi wa vibanda haufai. Mamantilie maji wanayooshea vyombo ukiona inaweza itapike
 
Shida ipo kwetu sote. Tunapenda vitu vya chini, bei ya chini, sarurasarura. Wamechinga wanaenda nasisi.
Anayewaterea machinga pia anawafurahisha wateja wao.
Wake up!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Wamachinga wanapewa super power kuliko intellectuals? Kioja sana hiki...Graduates almost 250,000 wanamwagwa mtaani kila mwaka sidhani hii number ni ya kupuuzwa!
Mkuu, sasa kati ya haoe machinga walioamua kutumia mtaji kiduchu walionao kujitafutia kipato kidogo na hao unaowaita graduates ( waliobweteka nyumbani) wanaoisubiri serikali iwape ajira nani asaidiwe?.

Alafu husichokielewa Kuna idadi kubwa sana ya Graduates ambao ni machinga.

Serikali haijawaajiri, haijawatengenezea mazingira wezeshi ya kujiajiri kibiashara rasmi na imeamua kuwafukuzia mbali kutoka maeneo yasiyo rasmi ambayo walijiingiza kwenye umachinga.

Tujiandae kuwa na wimbi kubwa la vibaka,wezi,machangudoa na mateja.
 
Nchi ya kishamba sana, viongozi wanawaza uchaguzi kuliko maendeleo na taratibu aisee,eti mtu machinga anaondoa gari za kulipia 3500 kwa siku anaweka machungwa au miwa anaacha uchafu ukazolewe kwa hela
Kwa hiyo ww unaona 3500 ndo bora kuliko watu wajitafutie riziki maana hata ajira hakuna.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa uchafuzi wa ujenzi wa vibanda haufai. Mamantilie maji wanayooshea vyombo ukiona inaweza itapike
Machinga ni kundi muhimu sana kwenye jamii na uchumi wa nchi, lakini wanapaswa kufanya biashara zao kwa utaratibu mzuri wasilete kero kwa watumiaji barabara na miundombinu mingine. Machinga wapo wengi tu marekani na ulaya pia, ila wanafanya biashara zao kwa utaratibu!
 
Unawamwambafai tu mbina sehem kibao wanakomaliwa na hawapangi biashara? wakikikuta tehe tehe ndio wanapanga mbele yabeneo lako au maferem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…