Kutana na kijana Issa Haruna, mke wake na mwanae

duh huyo mtoto ndo balaa 1kg ya ugali akat wngn 1kg ya ugal wanakula familia ya watu watatu had nne.
 
Anasema hata mama yake mzazi naye amefika hatua ameanza kumkwepa kwani anapopanga kwenda Igoma kumsalimia, huwa anamkwepa muda mwingine akidai amesafiri
 
Sipati picha kule mahakamani akienda huo mzigo ambao huwa anashusha mmmh.
 
😄 😄 😄 😄 Salalaa school mate msingi
 
Ahahaaaa nimecheka kweli usiku huu watu. Nje wakadhani nagegedwa
 
Mtu ana uwezo wa kula kwa mama ntilie chakula chote hicho lakini anaomba mtaji wa kuuza mayai
 
Huyu jamaa si ata Jaza Choo tuu mwez mmoja
 
Fala ilo linafikiria kula sifa. Hafu eti linaomba mtaji wa kuuza mayai.

Jitu linalokula chapati 45 na chupa nzima ya chai ulipe mayai ya kuchemsha likauze si litakula trei 20.

Mko wa watu 20+ anakula pekee yake
Af anataka msaada mbona yeye ni tajir kama anaweza kupata icho chakula kila siku
 
Umasikini na ujinga! Huna jinsi ya kujikimu halafu unaendekeza kula kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…