Kutana na kijana Issa Haruna, mke wake na mwanae

Nadhani chanzo cha yote hayo ni jina la babu yake Mnazi, Mnazi katoa nazi na wali wa nazi hauli ukashiba!
 
Mfano angekuwa dogo wako halafu anakupigia simu kaka ntakuja huko kwako na mke wangu na mtoto kutafuta vibarua.ntakaa kwa mwezi mambo yakiwa mazuri nahamia kwangu..utafanyaje?
njoo na chakula chako na jiko chumba kipo utakaa bure hata mwaka mzima
 
Yupo muha mmoja alibeti kula vitumbua 45.Alikula 44 cha 45 akatapika.Akifika kwa mama ntilie huwa haongei anatoa ishara ya vidole vi4 vya kulia na kushoto yani akimaanisha chapati 8.Mkono wake ulikuwa kama mti wa mpingo kwa ugumu,msulimsuli kweli.Kila mtu alikuwa ana mpa kibarua maana alikuwa ka katapila.Hio ilikuwa shinyanga miaka ya 99-2000,ila huyo mfuniko.Nimecheka sana kilo 8 watu 3.
 
Ukiwa mwanaccm lazima uwe na akili ya issa mapilau
 
m nawaza choo anachotumia huyu mwamba bila sjaka kitakua cha shimo mana khaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…