Naunga mkono hoja! Huu wimbo wa Taifa ni wa ku copy na ku paste kutoka South Afrika! Halafu una mashairi ya kipuuzi! Mfano ya kuliombea Bara la Afrika, Kuwaombea Viongozi Mafisadi wa CCM, nk.
Binafsi ningefurahi wimbo kama 'Tazama ramani', au 'Tanzania Tanzania.... Nakupenda kwa moyo wote'.....!! Mmojawapo ungeboreshwa mashairi yake/kufupishwa na hivyo kuwa Wimbo Mpya Taifa.
Hizi nyimbo mbili zimekaa kizalendo sana ukilinganisha na hiyo takataka ya sasa.