Kutana na Matare Matiko Rais wa DARUSO enzi za mgomo UDSM 1989

kumbe masuala ya serikali kuwatesa watu wanaoikosoa yameanza zamani
 
..tujikumbushe kisa cha Waziri Mkuu Joseph Sinde Warioba na Matiko Matare aliyekuwa kiongozi wa wanafunzi wa Udsm.
 
Sura ya Matiko Matare tafadhali.
Picha picha picha
 
Kuna mtu mmoja Damian Babile, naye akisoma sheria kipindi hicho. Alipigwa hadi kuvunjwa mkono na kulazwa Muhimbili.

Atakuwa alijeruhiwa na hao waliomteka Matiko.
 
Mbona huko CHADEMA hujaitishia mgomo au kuna namna?
 
Moja, msirudie makosa ya kumpangia Raisi kuongea Kiingereza au lugha yeyote ni sababu ya kijinga sana inaonyesha DARUSO walivyokuwa hawana akili na washamba , mbili msimwambie Raisi aje kama mkuu wa chuo na sio Raisi wa nchi ni kumkosea heshima mkuu wa nchi, negotiation yeyote lazima heshima na nidhamu iwepo hata kama hakuna maelewano, mna bahati Mwinyi alikuwa mpole na inaonekana alikuwa tayari kumaliza matatizo yenu bila kuwafukuza ila mkamkosea adabu, hii story inaniambia kitu kimoja tuu DARUSO walikuwa wapumbavu na kiburi cha kijinga, kufukuzwa ilikuwa haki yao, hope Matiko ana busara sasa
 
Wameeleza vizuri. Chuo kilikuwa na wanafunzi wengi toka mataifa yasiyozungumza kiswahili. Mkuu wa chuo kuzungumza nao kwa kiswahili ingekuwa kuwabagua wanafunzi wasiofahamu kiswahili.

Mimi naona lilikuwa kosa kumfanya rais wa nchi kuwa ndiye mkuu wa chuo. Unampaje ukuu wa chuo kikuu mtu asiye hata na shahada ya kwanza?!
 
Walivuna walichopanda. Migomo sio suluhisho la kila kitu. Hata kwa sasa mtazamo wake utakuwa umebadirika kama bado anapenda migomo basi kuna kitu hakipo sawa kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…