Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,637 Jun 11, 2017 #2 Aiseeh kuna mengi ambayo binadamu upeo wetu tunashindwa kuelezea zaidi
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 11, 2017 Thread starter #3 Galapagosi said: Aiseeh kuna mengi ambayo binadamu upeo wwtu tunashindwa kuelezea zaidi Click to expand... Upako mkuu
Galapagosi said: Aiseeh kuna mengi ambayo binadamu upeo wwtu tunashindwa kuelezea zaidi Click to expand... Upako mkuu
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,907 Jun 11, 2017 #4 Ule mwisho unakaribia
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 11, 2017 Thread starter #5 harder king said: Ule mwisho unakaribia Click to expand... Na waumini wanasema thank you J
Jogoo wa Shamba II JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 3,373 Reaction score 6,532 Jun 11, 2017 #6 Daaaàah hiyo kiss haijawahi muacha mtu salama
Saharavoice JF-Expert Member Joined Aug 30, 2007 Posts 4,017 Reaction score 2,580 Jun 11, 2017 #7 Huyu kaamua kufanyia hadharani
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jun 11, 2017 #8 Waafrika tukiambiwa akili zetu mbovu sometimes kumbe kweli?
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Jun 11, 2017 #9 Anakiss mpk wanaume?!
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,907 Jun 11, 2017 #10 Ethos said: Na waumini wanasema thank you J Click to expand... Hatari sana
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 11, 2017 Thread starter #11 limah aloyz said: Daaaàah hiyo kiss haijawahi muacha mtu salama Click to expand... Anapona eee
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,045 Reaction score 28,216 Jun 11, 2017 #12 HILI KANISA HAIFAI KATIKA JAMII
gentlemanx JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 2,375 Reaction score 7,217 Jun 11, 2017 #13 Ndo ajira yake,kila mtu na njia yake...but too bad kumkufuru roho mtakatifu
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 11, 2017 Thread starter #14 gentlemanx said: Ndo ajira yake,kila mtu na njia yake...but too bad kumkufuru roho mtakatifu Click to expand... Ajira?
gentlemanx said: Ndo ajira yake,kila mtu na njia yake...but too bad kumkufuru roho mtakatifu Click to expand... Ajira?
gentlemanx JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 2,375 Reaction score 7,217 Jun 11, 2017 #15 Ethos said: Ajira? Click to expand... Ndo anapata mlo wa kila siku kwa kazi hiyo mkuu,
Dr Simba JF-Expert Member Joined Apr 27, 2016 Posts 997 Reaction score 1,242 Jun 11, 2017 #16 Makafiri kazi mnayo mpaka mnyooke.
Sadock Kabuko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 1,166 Reaction score 1,075 Jun 11, 2017 #17 Dunia ina mambo kwel hawa manabii Mungu anawaona
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 11, 2017 Thread starter #18 Dr Simba said: Makafiri kazi mnayo mpaka mnyooke. Click to expand... Hahahah
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 Jun 11, 2017 #19 Aisee. Hapo kuna nguvu za giza.
not by nature Senior Member Joined Aug 4, 2016 Posts 110 Reaction score 58 Jun 11, 2017 #20 Wonders shall never end