Kutana na "Michael Jackson" wa Bongo

Kutana na "Michael Jackson" wa Bongo

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
2.JPG


3.JPG
 
Haaa! Ila jamaa anamfanana sana Michael. Angalia hata tabasamu lake!
 
lakini jamaa mbona kajikirimu kupita kiasi ..haurumii ngozi yake ya asili
 
dah,kweli jamaa kafanana na michael hata pua ya bandia naye kaweka duh!ila huo mkorogo?
 
Mwana wane maganga hazeeki tokea enzi zile tuko mwanza tukihudhuria mahubili ya mosses kulola alikuwa anatumbuiza nyimbo za kumsifu MUNGU kabla ya Mahubili kuanza duh siamini mpaka leo bado ni anasula ile ile. Mahubili mengi yalikuwa yakifanyika viwanja vya Gandhi Hall ambako sasa kwatizamana na jengo la Idara ya maji TAKA Mwanza. Juzi napo nimekuona kwenye Selebuka J.Maganga hongera
 
Back
Top Bottom