Kutana na msanii wa Tanzania anayefanana na tupac mwenye ndoto za kwenda marekani kumuigiza

Kama amekosa kazi mwambie akaokote maembe,
 
Heshima kwako braza...
 
Kijana wa Dar ktk ubora wake,.
 
Mkuu una uhakika na unachokisema?
 
Khaaaa janame linalilia kufanana na dume? Kibooooooo
 
Naona kama watu wamepanic zaidi humu kwa jamaa kusema anafanana na TuPac!

Mbona jamaa kawa wazi tu kwamba haimsaidii chochote!
Huyo jamaa kasema kibongo bongo hapati deals ila ana ndoto ya kwenda marekani kumuigiza.
Rejea uzi
 
Na huyu nae Aitwe Fresh Prince wa Bongo? Huku China ndio tunavyomuita

 
 
 
Sasa huyu mbugila yeye kaona kufanana tu kwa sura tayari imekuwa issue je huyo 2pac alifanana na nani mpaka akawa hivyo? Atushawishi kwa tungo nzuri hizi boost nyingine inabidi uwe na akili ya mwendawazimu kuizungumzia.
[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12]

Si unajua wabongo wanapenda kuwwka headline za magazeti na mitandaoni

Wakati KENDRICK LAMAR amefanana
Na tupac kwa mashairi na beatz zinaenda kidogo.
Ila sio kufanana sura tatizo la wabongo ndio hilo.......
Tunasubiri mwingine aje aseme anafanana na jay z au p.diddy....

[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji12] [emoji95] [emoji379]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…