Kutana na muuza maji ya madumu anayetengeneza pesa nyingi kwa mwezi zaidi ya mtu mwenye shahada

Hawa wauza maji, waosha magari wanapata pesa nyingi sana. Kuna jamaa mmoja mwenyeji wa kigoma hapa arusha, ni mwosha magari lakini mjengo alioupasua sio wa kawaida huwezi amini km ni mjengo wa mwosha magari mshafu 24hrz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo wabongo ni mabingwa kuelekeza njia wasiotaka wao au jamaa zao kupita
 
Hahahahhahah.
Nimependa hii, eti hana kiwanja wala nini amemjaza ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa hiyo kazi kuanzia saa 10 alfajiri hadi saa 3 usiku si Ni kifo hicho??
Then unapata 750,000!!
Bora huyo mwenye degree anayepewa take home ya 500,000
Huna akili,huyu anachkua maji kuanzia asubuh anachota anayapanga anakaa anacheza bao na kupiga stor huku anauza,wew unaamka sa kum na moja asubuh unapanda mwendokas kwa kugombania unafika ofisin unatumwaaa,unarud nyumban unafika sa moja,mwez mzima unalipwa lak5 ,una akil wew?maden kibao,.unamcheka mwenzio...wel,hawa kinachowashindaga ni uhifadh wa fedha tuu,..ila wangekua wanahifadh pesa pind waipatapo,watu wenye biashara hiz wanaingiza pesa nying sana,..mi mwenyew nna kasehem kangu ka nyama choma,kwa siku mauzo had lak3 napata,nkitoa gharama garama inabak kama 80 au 90 kwa siku,..mguu juu,vijana wanaleta pesa tuu mi nafanya biashara zingne,..na najua kwel kuhifadh pesa,..na usi imagine kipind hik cha magu nkakuonyesha risit yangu ya ATM salio litakutoa roho na utaacha hyo kaz ya lak5 msomi mzima kuanzia chekechea ha chuo kikuu unaondoka na lak5?
 
Mkuu unaingiza 1m kwa mwezi unajisifu una akili??
 
Mkuu unaingiza 1m kwa mwezi unajisifu una akili??
Kumbe hata kusoma hujui,heb rejea tena andiko langu,..nimesema napata profit ya zaid ya 5mil kwenye biashara zangu ndogo ndogo na profit hii hata mwez haufiki,na nakwepa kodi vilevile,sasa nan mwenye akil hapo
 
Yupo bwege mmoja alikuwa ananiuzia maji ya mandumu na mkokoteni.... Ikifika likizo anapanda ndege kwenda kwao..... Nilipogundua niliamua kwa roho mbaya nisinunue tena maji kwake. Yaani Mimi nilikuwa sijawahi kupanda ndege, afu bwege tu wewe unakula mwewe kwenda kwenu.
 
hayo maji anachota bure?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maji anayapata bure?
 
Hahahaaa, ukitaka kujua wenye degree kwenye hili jamvi ambao hawaipati hiyo 750,000/ kwa mwezi, pitia replies za hii post hafu utanambia!
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Kwanza mazoezi mazuri tu, pili anawapa maji raia ambayo ni uhai, tatu anatunza familia yake na kufanya maendeleo..hongera zake, nawajuwa 4 au 5 mitaa ya Sinza Lion Hotel na Queen of Sheba, wako kama huyu..

Hii hadithi ya kufikirika. Mbona hajaweka cost zake za kufanya hiyo biashara? Maji anayatengeneza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…