barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
Mzee huyu(jina limehifadhiwa) ni miongoni mwa wanachama wa TANU mkoani mtwara kwenye miaka ya 1950. anaishi mtwara maeneo ya Kijiji Cha Kianga nje kidogo MJINI Mtwara. amehifadhi barua nyingi sana ambazo zilikuwa kikiandikwa kwa wakati huo. ukweli ni kwamba ukipata kuziona barua hizo utafurahi na kushangaa sana jinsi mikutano ya TANU ilivyokuwa. karibuni mumtembelee mzee huyu mpate kujifunza mambo mengi ya TANU kwa wakati huo
Mzee huyu ni hazina kubwa sana,hasa kwa kuweka kumbukumbu sahihi ya Historia ya Taifa hili,ama hakika haishii kusimulia tu mambo ya harakati za uhuru,bali ana nyaraka kabisa alizotunza na kuziweka kwa umakini sana.Taifa langu Mama Tanzania kwanini wazee kama hawa hazina ya Taifa mnawatekeleza??Kwanini historia hii adhimu tunashindwa kuweka kwa vizazi vijavyo??
Cc Mohamed Said Matola Ngongo