na alipokuja fali ipupa hakucheza mbali sana, kwenye ile shoo yake jamaa alikuwa anawashika hawa mademu kama malaya wa kununua street. uyu mboni noma lol, acha tu aitwe cerebrity.
Lakini ndo hivyo , ataishia kuvaaa Tshirt, E'too mweneyewe wala hata hamkumbuki. inauma sana.