Huchelewi kukuta ni zaidi ya milioni 50
Hiyo ni ya serikali itakuwa ni 0 km.
Ila hata kama la mtu binafsi bei imesimama ndio mtu anapoamua kwenda kununua discovery 3/4 used.
Ilikua ya usalama ile nilikuepo paleNyingine sikupiga picha lakini haikuwa ya serikali mkuu
Umeambiwa usalama unatoka nduki je ungeambiwa ni wasio julikana? 😁😁😁😁Ohooo [emoji2097] [emoji100]
Hiyo hapo juu au ipi?Ila Rumion ina shape mbaya..ka mwanamke wa Kichagga
Hii old Model.Hiyo hapo juu au ipi?
Habari wakuu
Leo katika pilika nmekutana macho kwa uso na Rumion new model,mitaa ya mwenge baadae nkakutana nayo tena mikocheni.
Mwanzo nlizani ni toyota Ipsum kuchek nyuma ni Rumion
Ina shape tofauti na old model mpaka taa
Lakini kikubwa zaidi ni 7 seater
Sijui vingi kuhusu hii gari lakini ni latest
Hii inaonesha bongo sahivi watu wameamka
Wana import gari za hivi karibuni.Nice!
Tunaomba wajuzi wa hii au wamiliki watupe ABC
Za Hii Toyota Rumion maybe inaweza kuwa alternative ya vanguard na Rav 4 kwa wenye kipato cha kati.
Karibuni,
View attachment 2443322
View attachment 2443323
View attachment 2443325
View attachment 2443326
Milion 100 hioHuchelewi kukuta ni zaidi ya milioni 50
Hiyo ni ya serikali itakuwa ni 0 km.
Ila hata kama la mtu binafsi bei imesimama ndio mtu anapoamua kwenda kununua discovery 3/4 used.
Acha kutusimangia dada zetu, mbona hatuwasimangi dada zako wazaramo wana midomo kama Boiller!!Rumion ina shape mbaya..ka mwanamke wa Kichagga