Mkuu ili twende sawa na wewe mtu wa magari njoo na model ya hiyo gari mwaka wake ukisema new model harafu toleo la nyuma hata sielewi maana hawa Rav 4 nao kila mwaka wanatoa zaidi ya gari moja au mbili...New model zipo nyingi Kwa wahindi mitaa ya upanga na kisutu.... Toyota sometimes wanazingua sana hiyo gari inafanana Sana na RAV 4 new model.
Sijaona jipya kutoka kwenye hiyo gari
Ni kweli rav 4 zipo matoleo mengi ila hizi za mwaka 2015 zimefanana Sana na rumio new model...Mkuu ili twende sawa na wewe mtu wa magari njoo na model ya hiyo gari mwaka wake ukisema new model harafu toleo la nyuma hata sielewi maana hawa Rav 4 nao kila mwaka wanatoa zaidi ya gari moja au mbili...
Hivi unajua hii gari inafika kwa kiasi gani Mkuu...pamoja na kulipa ya Kaizari..Ni kweli rav 4 zipo matoleo mengi ila hizi za mwaka 2015 zimefanana Sana na rumio new model...
Ni Bora uchukue hii RAV4 itakufaa zaidi View attachment 2444887
Sijajua kwa nini hii gari inafananishwa na rav4, ji class mbili tofauti, Rav4 ni SUV hii rumion ni station wagon. Ground clearance ni tofauti, design ni tofauti na walengwa ni tofauti.
Binafsi siipendi (ila hii chaguo binafsi) na imefanana sana na SUZUKI ERTIGA, sijui nami kamuiga meenzieView attachment 2445078
Mhhhh!! Kwa bongo bei yake iko juu Sana mara nyingi naona ZINA plate number za DFP na STM pia hata wahindi wanaendesha hizo gariHivi unajua hii gari inafika kwa kiasi gani Mkuu...pamoja na kulipa ya Kaizari..
Yap ni gari za zaidi ya 90m za Ki Tanzania hizo..wahindi wapo sawa...Mhhhh!! Kwa bongo bei yake iko juu Sana mara nyingi naona ZINA plate number za DFP na STM pia hata wahindi wanaendesha hizo gari
Mhhhh!! Kwa bongo bei yake iko juu Sana mara nyingi naona ZINA plate number za DFP na STM pia hata wahindi wanaendesha hizo gari
OkkkkkkkWahindi wanazipenda kwa sababu India wanatengeneza hizi gari
Sijajua kwa nini hii gari inafananishwa na rav4, ji class mbili tofauti, Rav4 ni SUV hii rumion ni station wagon. Ground clearance ni tofauti, design ni tofauti na walengwa ni tofauti.
Binafsi siipendi (ila hii chaguo binafsi) na imefanana sana na SUZUKI ERTIGA, sijui nami kamuiga meenzieView attachment 2445078
Hiyo Rumion new model ni habari nyingine. Niliziona mbili Unguja, hauwezi kabisa kufikiri ni toleo jipya la Rumion kama usipoona maandishi. Zimekaa vizuri sana.
Corolla ya 2023 hii hapa!View attachment 2445816
STM ni namba za Serikali mzee babaNyingine sikupiga picha lakini haikuwa ya Serikali mkuu