BUNDI ALBINO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 415
- 612
Hahaaa hilo zali malizana nalo mwenyewe mm sihisiki..Mkuu hii hutokea iwapo tutatumia 1% ya ubongo na si 100% nimecheka sana na bahati mbaya nipo kituo cha polisi na nimecheka kwa nguvu nahisi kitanuka sasa hivi ngoja ntoke nje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]