Ahadi ya Rais ya kuajiri walimu ni rushwa ya waziwazi. Alitakiwa aseme akichaguliwa tu, anaanza kuajiri hao walimu Novemba baada ya kuapishwa.
Tutegemee mengi ndani ya muda huu mfupi kama kupandisha madaraja na increment.
TAKUKURU mna ubavu wa kulishughulikia hili?