Sio kubeti tu chief, nina mahaba na wekundu, sema chama ananiboa sanaPole mkuu. Ulibet kuwa Simba itashinda nini?
Vipi mnyama ameliwa au amekula?Nipo kwenye screen naangalia mech ya Simba na soura,
Half time ,soura anaongoza kagoli kamoja, lakini mnyama wa mwituni bado anawinda, atamkamata tu mwarabu
Sent using Jamii Forums mobile app