iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
Habari za uhakika ni kwamba wadhamini wa kipindi cha wanawake laivu wameacha kukidhamini kipindi hicho
Katika hali yakubabaika mwanadada huyo kageukia chama cha mapinduzi ili kimsaidie na kama hatua ya awali amesema atafanya kazi na serikali ya awamu ya tano
Njaaa ni hatari,pole kilewo,kosea kingine usikosee kuoa