Hiki wanachofanya CHADEMA ndio udikteta uchwara. Hawataki watu wenye mawazo mbadalaJosephine Mashumbusi naye mlimtukana sana baada ya kutofautiana mtazamo
CHADEMA ilikufanya kitu mbaya Sana hadi dakika hii hujawasahau kabisa, pole yakoHiki wanachofanya CHADEMA ndio udikteta uchwara. Hawataki watu wenye mawazo mbadala
Kwa hiyo nyie mlipanga kutofanya kazi na serikali? Sasa ngoja tuone tarehe 1sept.Habari za uhakika ni kwamba wadhamini wa kipindi cha wanawake laivu wameacha kukidhamini kipindi hicho
Katika hali yakubabaika mwanadada huyo kageukia chama cha mapinduzi ili kimsaidie na kama hatua ya awali amesema atafanya kazi na serikali ya awamu ya tano
Njaaa ni hatari,pole kilewo,kosea kingine usikosee kuoa
Wanataka wamtangulize Mkuu, hawa jamaa hawajisomiMbona CHADEMA mnaweweseka sana baada ya Joyce kumtahadharisha mumewe?
Na safari wamepanga kumtanguliza mbele mumewe amewashitukia...hahah ila joyce hana siri.... kumbe chadema alipokwama wakati mmewe yupo kifungoni hawakumsaidia zaidi walikuwa wanasema "komaa kamanda"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwani chadema ndio walikuwa wafadhili wa hicho kipindi? Kama siyo, wanahusikaje na kukosekana kwa udhamini huo?Hiki wanachofanya CHADEMA ndio udikteta uchwara. Hawataki watu wenye mawazo mbadala