Kutapika dawa baada ya dk 3

Kutapika dawa baada ya dk 3

Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
823
Reaction score
372
Kwenu wataalam
Mke wangu ana malaria na ni mjamzito nimempeleka hospital jioni hii kapewa vidonge vya malaria lkn tumerudi nyumbani amekula na baada ya kama saa moja hivi kameza vile vidonge lkn baada ya dk 3 tu kavitapika na nimeviona viwili kavitoa ingawa je naweza kumtafutia vingine ameze tena usiku huu?
 
Mkuu kwani Hospitali walikupa Viwili tu mpaka ukamtafutie vingine? Au
 
Ninakaa vidonge vitatu na ametakiwa kumeza vyote kwa mara moja
 
Back
Top Bottom