Kwenu wataalam
Mke wangu ana malaria na ni mjamzito nimempeleka hospital jioni hii kapewa vidonge vya malaria lkn tumerudi nyumbani amekula na baada ya kama saa moja hivi kameza vile vidonge lkn baada ya dk 3 tu kavitapika na nimeviona viwili kavitoa ingawa je naweza kumtafutia vingine ameze tena usiku huu?