Kutapika mjamzito!

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
189
Habari zenu wadau wa jukwaa hili...
Napanda jukwaani nikiomba msaada wa jinsi ya kumsaidia mke wangu ambaye ni mjamzito,namna ya kupunguza kutapika kwani anatapika sana...vp kuna dawa anaweza kutumia ili asitapike?
Karibuni...
 
Mbona dawa zinapatikana hospitalin?? Mimi nilipewa dawa na hiyo hali iliisha kbs!!
 
kichefuchefu au kutapika ni hali ya kawaida kwa wajawazito...inapotea baada ya miezi 3 ya mwanzo,ni vizuri kama mnaweza kuvumilia mpaka hali hio ipite..dawa unayoweza kutumia metoclopramid /afipran:10mg,mara tatu kwa siku(usitumie kwenye 3rd trimester/miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito!
 
Habari zenu wadau wa jukwaa hili...
Napanda jukwaani nikiomba msaada wa jinsi ya kumsaidia mke wangu ambaye ni mjamzito,namna ya kupunguza kutapika kwani anatapika sana...vp kuna dawa anaweza kutumia ili asitapike?
Karibuni...

Mkuu mwache atapike ni sumu hizo,zikiisha atatulia wewe tembeza mpini tu ila taratibu ukipiga sana unachoropoa mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…