Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufululiza kupata moja moto moja baridi kwa takriban wiki moja hivi.Kuna hali hunitokea nikifuruliza kupata moja moto moja baridi kwa takriban wiki moja hivi lazima nitapike nyongo, Je hii husababishwa na nini?
Hii kitu ni serious naomba ushauri
Acha huo ulevi hutoweza tena kutapika inaonyesha hiyo pombe unayokunywa haikutaki bora uiache kwa uslama wako nanenda pia hospitali ukaangaliwe vizuri pole sana.Kuna hali hunitokea nikifuruliza kupata moja moto moja baridi kwa takriban wiki moja hivi lazima nitapike nyongo, Je hii husababishwa na nini?