Kutapika nyongo

Tundiman

Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Kuna hali hunitokea nikifuruliza kupata moja moto moja baridi kwa takriban wiki moja hivi lazima nitapike nyongo, Je hii husababishwa na nini?
 
Kuna hali hunitokea nikifuruliza kupata moja moto moja baridi kwa takriban wiki moja hivi lazima nitapike nyongo, Je hii husababishwa na nini?
Kufululiza kupata moja moto moja baridi kwa takriban wiki moja hivi.
 
Kwa uelewa wangu hii inaonyesha una kunywa sana kupita uwezo wako na mwili hauhimili unachosaha ini na nyongo inatokea kutapika kwa lazima kupunguza sumu. MziziMkavu, Dr. Riwa na wengine watatuchambulia hii kiitaalam zaidi
 
Last edited by a moderator:
Dalili za mwanzo za Ini kushindwa kufanya kazi vizuri.
 
Kuna hali hunitokea nikifuruliza kupata moja moto moja baridi kwa takriban wiki moja hivi lazima nitapike nyongo, Je hii husababishwa na nini?
Acha huo ulevi hutoweza tena kutapika inaonyesha hiyo pombe unayokunywa haikutaki bora uiache kwa uslama wako nanenda pia hospitali ukaangaliwe vizuri pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…