Kutapika wakati wa kusafiri

Kutapika wakati wa kusafiri

The Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,499
Reaction score
1,170
Jamani naombeni mnisaidie dawa ya kuzuia kutapika wakati wa kusafiri kwani huwa inanitokea mara kwa mara hata nisipokula kitu chochote lazima itokee,msaada tafadhali
 
kunapost moja niliisoma kuna mshauri alisema inatokana na kukaa kwenye location amabayo si nzuri yaani hutakiwi kukaa nyuma ya gari au hata kwenye dirisha maana utakuwa unaona mti ina tembea kwa kasi na itapelekea wewe kusababisha system ya mwili kutokuwa kwenye normal na kupelekea kutapika. naomba uitafute ni muda kitambo
 
Shukrani mkuu,ila nilishauriwa vitu vingi sana kama kutafuna mishale ya viberiti au kunusa kikwapa ila ni kwa knowledge zaid
kunapost moja niliisoma kuna mshauri alisema inatokana na kukaa kwenye location amabayo si nzuri yaani hutakiwi kukaa nyuma ya gari au hata kwenye dirisha maana utakuwa unaona mti ina tembea kwa kasi na itapelekea wewe kusababisha system ya mwili kutokuwa kwenye normal na kupelekea kutapika. naomba uitafute ni muda kitambo
 
kunapost moja niliisoma kuna mshauri alisema inatokana na kukaa kwenye location amabayo si nzuri yaani hutakiwi kukaa nyuma ya gari au hata kwenye dirisha maana utakuwa unaona mti ina tembea kwa kasi na itapelekea wewe kusababisha system ya mwili kutokuwa kwenye normal na kupelekea kutapika. naomba uitafute ni muda kitambo

hapo kwenye red sijaelewa kabisaaa
 
Back
Top Bottom