Mwenzako anaulizia kuangalia hizo channel kupitia Tv sio simu
Hapo inabidi uwe na app ya Kodi, app hii ipo kwa laptops zinazotumia windows, vifaa vya android kama simu na tv box, n.k.
Hapo kwa urahisi nunua android tv box inayotumia android ( waweza pia tumia laptop au cpu ya dekstop ukaiunga kwa tv )
Install app ya Kodi kutoka playstore
Kwenye hio kodi inabidi uingize addons za channel za michezo kama the loop na mad titans
Jinsi ya kuinstall ingia google, mfano kuingiza the loop utasechi how to install kodi addon the loop
Kwenye TV?www.soccer8080.com
umemaliza kila kitu
ndio mkuuKwenye TV?
You tube au wapi sasandio mkuu
Una tv gani mkuu? Ni smart tv? Ukinipa model nitapata kwa kuanzia.Wataalam kama mtu ana zuku fiber unlimited ndani na anataka tazama Mpira EPL au TV zozote za nje ...inatakiwa afanyaje?
Kuna mtu kaniambia lazima nitafute android TV box kwanza?ni kweli?
Njia zipi za kupata channel za nje kupitia unlimited internet ndani?
Hata kupata sky channels moja Kwa moja inawezekana?
Mkuu nimecheki kama hii ni remote, umeangalia nyuma ya tv?Ni smart TV..Sony smart imeandikwa Sony Rm-ed054...sijui kama ndo details unazotaka