Kumefanya ccm isiwe creative , wamerudi nyuma na kuacha vyombo vya ulinzi na usalama viwabebe matokeo yake upinzani wanapetaYaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika. Hakuna watanzania wengi ambao wapo CCM bila manufaa binafsi kwa sasa. Ndiyo maana mnaona hakuna kelele za
Utekaji, ufisadi , kukiuka katiba wala rushwa.
Tushukuru Mungu sana tuna Chadema. Na wana viongozi genius
Usimuamshe aliyelalaKumefanya ccm isiwe creative , wamerudi nyuma na kuacha vyombo vya ulinzi na usalama viwabebe matokeo yake upinzani wanapeta
CCM ilishakufa umebaki mzuka tu.Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika. Hakuna watanzania wengi ambao wapo CCM bila manufaa binafsi kwa sasa. Ndiyo maana mnaona hakuna kelele za
Utekaji, ufisadi , kukiuka katiba wala rushwa.
Tushukuru Mungu sana tuna Chadema. Na wana viongozi genius
Ukweli ni kwamba huwezi kubaki ccm kama haupo kimaslahi, ccm Kila siku uzalendo, uzalendo ila wao ndio mafisadi papa na wezi wakubwa wapo kimaslahi zaidi, wengine wapo kulinda biashara zao.Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika. Hakuna watanzania wengi ambao wapo CCM bila manufaa binafsi kwa sasa. Ndiyo maana mnaona hakuna kelele za
Utekaji, ufisadi , kukiuka katiba wala rushwa.
Tushukuru Mungu sana tuna Chadema. Na wana viongozi genius
Maneno machache yenye hekikama. Ubarikiwe sana..Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika
Wanaomba Msaada Kwa sheikh ubwabwa mwaipopo awasaidie vita yaani Hadi polisi safari hii wameshindwaJK Alipoona Kitamfia Akapiga Yowe Wazi
Umeandika ukweli mtupu.Ukweli ni kwamba huwezi kubaki ccm kama haupo kimaslahi, ccm Kila siku uzalendo, uzalendo ila wao ndio mafisadi papa na wezi wakubwa wapo kimaslahi zaidi, wengine wapo kulinda biashara zao.
Waungwe mkono kwa kila hatua na kila hali vi ginevyo taifa litauzwa mchana kweupe.Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika. Hakuna watanzania wengi ambao wapo CCM bila manufaa binafsi kwa sasa. Ndiyo maana mnaona hakuna kelele za
Utekaji, ufisadi , kukiuka katiba wala rushwa.
Tushukuru Mungu sana tuna Chadema. Na wana viongozi genius
No way