Wakuu salama, kuna gari aina ya mazda tribute, inazingua kuwaka kwa muda sasa fundi anasema inekufa ignation coil . Amejaribu kibadilisha lakini bado. Msaada wadau
Sijui ni fault code gani, ila anasema coil plag ndio imekufaUmejaribu kupima na machine inatoa fault code gani?
Sijui ni fault code gani, ila anasema coil plag ndio imekufa
Nipo dar mkuuuko wapi mkuu ?/ mkoa gani