Kutekwa kwa Mdude kumebadilisha cho chote?

Nchi ina sheria why umuue mtu?...kama unaona hazitoshi badilisha au kazia sheria kuua mtu haipendezi....
Mambo hayatakiwi kwenda hivi...hata Mwenyezi Mungu hapendi
 
uliona wapi chadema wakitoa kafara watu kenge we?
Zile risasi mlizompiga Lissu ni kama hazikutosha. Ile ni Kafara

Mka mwambia Mdude ajiteke. Kitendo kile ni kutoa kafara, maana hakujitoa kafara.
 
Mdude amepatikana? Kama wewe ni mzazi wake au kakaake au Dadaake au mkewe au mtoto wake. Ungeliileta hii mada? Natanguliza shukrani!🙏🙏🙏🙏
 
Zile risasi mlizompiga Lissu ni kama hazikutosha. Ile ni Kafara

Mka mwambia Mdude ajiteke. Kitendo kile ni kutoa kafara, maana hakujitoa kafara.
Mshamba akili tu huna la maana
 
mnawapa wenzenu pepo za bure bure huko mbinguni.
mnawaua mkijua mnawakomoa kumbe mnampiga chura teke
 
so?
 
Ngoma ikivuma sana....!
E
 
Gwajima ni mjumbe wa national executive council ya chechemaa, ni mbunge wa chechemaa na mwanachama hai wa chechemaa.
 
Mikosi mingine mnajitafutiaga tu
Cha kushangaza hakuna aliyepinga nilichokisema kama ni kweli au lah.

Badala yake, wamejikita kwenye Ugaidi🤬😌

....mikosi??
Kwahiyo unasema yaliyomkuta Mdude ni halali yake. Ameyatafuta na ameyapata.
 
Ni imani yangu mdude yupo hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…