FakeGirl Naomi
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 226
- 705
Jamani kuna tetesi nimezipata toka kwa rafiki yangu aliyeko jijini Mwanza kwamba kuna wimbi la utekaji wa watu. Nasema ni tetesi na sijajua vyema kama kuna ukweli au la.
Ila nilisikia Clouds kama wiki moja ilopita kwamba kuna upigaji nondo huko huko jijini Mwanza. Pliz mliopo huko tupeni taarifa zaidi coz nina kilikizo kidogo nilitaka kwenda kuogelea ziwani.
Ni serious jamani, Naombeni info nisijepatwa na ya kupatwa
Watu wa Nyegezi, Mkolani, SAUT na maeneo mengine ya Nyamagana, Hebu nitoeni hofu nisijekosa nafasi ya kuja kuliona Ziwa letu pendwa kwa habari za KUZUSHA.
NAWASILISHA ,,,!!