FakeGirl Naomi
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 226
- 705
Jamani kuna TETESI nimezipata toka kwa rafiki yangu aliyeko jijini Mwanza kwamba kuna wimbi la UTEKAJI wa watu. NASEMA NI TETESI na sijajua vyema kama kuna ukweli au la.
Ila nilisikia Clouds kama wiki moja ilopita kwamba kuna UPIGAJI NONDO huko huko jijini Mwanza. Pliz mliopo huko tupeni taarifa zaidi coz nina kilikizo kidogo nilitaka kwenda kuogelea ziwani.
Ni SERIOUS jamani, Naombeni info nisijepatwa na ya kupatwa
Watu wa Nyegezi, Mkolani, SAUT na maeneo mengine ya Nyamagana, Hebu nitoeni hofu nisijekosa nafasi ya kuja kuliona Ziwa letu pendwa kwa habari za KUZUSHA.
NAWASILISHA ,,,!!
Kamuulize kailima au mtungi atakupa jibu sahihiHivi Mkoa wa Mwanza hivi sasa una Wabunge wengi wa Upinzani? Tuanzie hapa Kwanza tafadhali.
Watu mnaokuja Mwanza kuweni makini sana hasa maeneo ya Nyegezi hata bodaboda usimwamini. Kuna mmoja kalizwa balaa nimekutana naye leo.
Mkuu punguza siasa asee we kila kitu ni siasa tu!!Hivi Mkoa wa Mwanza hivi sasa una Wabunge wengi wa Upinzani? Tuanzie hapa Kwanza tafadhali.
Sababu mods wamelala na wengi wao ni vibabu vizeePost kama hiz za tetes usiku zinadumu sana kukikucha tu huion tena
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji47]Sababu mods wamelala na wengi wao ni vibabu vizee
Upo mwanza sehemu gani???Jamani kuna TETESI nimezipata toka kwa rafiki yangu aliyeko jijini Mwanza kwamba kuna wimbi la UTEKAJI wa watu. NASEMA NI TETESI na sijajua vyema kama kuna ukweli au la.
Ila nilisikia Clouds kama wiki moja ilopita kwamba kuna UPIGAJI NONDO huko huko habari za KUZUSHA.
NAWASILISHA ,,,!!
Huyu si ndo mmiliki wa annex and Victoria hotel mkuuDaaaaah inauma sana they kill my hero for sure. Alikuwa anaenda kusali nyabulugoya asubuhi wakamuua aisee. OK MUNGU ni mwema vyombo vya ulinzi daaaah,
Daaaah never forget him, rest in peace!Daaaaah inauma sana they kill my hero for sure. Alikuwa anaenda kusali nyabulugoya asubuhi wakamuua aisee. OK MUNGU ni mwema vyombo vya ulinzi daaaah,
Mkuu punguza siasa asee we kila kitu ni siasa tu!!