Kuteleza c kuanguka

Kuteleza c kuanguka

Madbackisson

Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
10
Reaction score
6
Mpira una matokeo matatu na hayo matokeo yanaweza kukuumiza au kukufurahisha tujipange mwakani
 
Attachments

  • 64548042_2400055903562478_3006453884311830528_o.jpg
    64548042_2400055903562478_3006453884311830528_o.jpg
    53.1 KB · Views: 23
mlisababisha nilimwe BAN nyinyi MISIFA FC.........endeleeni kubunya njuruku za ponjoro bure mwaka huu....{bila okwi ni bilabila}
 
Hiki kidonda kilishawakauka naona unataka kuwatonesha.
 
mlisababisha nilimwe BAN nyinyi MISIFA FC.........endeleeni kubunya njuruku za ponjoro bure mwaka huu....{bila okwi ni bilabila}
Ngoja waje wale wapenda maneno sukari!!. Mana hawatakagi maneno ka haya ujue. 😀😀
 
Back
Top Bottom