Kutema mate mara kwa mara ni dalili za ujauzito?

Kutema mate mara kwa mara ni dalili za ujauzito?

Shinoyankela

Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
25
Reaction score
4
Hbr zenu wana jf polen na majukumu naomba msaada wenu mwenzenu tangu juz usiku natema mate mpaka imekuwa kero kwa weozangu sasa naomba mnijuze kama ni dalili za ujauzito au la!sihisi kichefuchefu ila tu mdomo ni mchachu
 
Wakati mwingine ni dalili tu ya Minyoo....
 
Back
Top Bottom