Kutembea na aliekuwa shemeji yake


hapo kwenye rangi,hujakosea????sio miezi????maana miaka sita bila mawasiliano as mchumba,daaaaaa,halafu pia hakuna mawasiliano,,,,mmmh
 
Duuh sasa yeye alifikiri muda wote atamsubiri yeye isitoshe huyo rafiki yake hana makosa hakuwa mke bali ni GF ambaye walishatengana. Hana lolote huyo anataka kuwaletea kiwingu tu inabidi wampotezee

hata kama angekua mke,,,,,ruksa kuomba talaka,,,,miaka 6 ni muda mrefu sannaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…