Hilo liko wazi kuwa ni kosa la jina au (Sexual harassment) hata kama wameelewana kwani huwezi jua kuwa huyo mwanamke amekubali kufanya hivyo ili apate favour fulani.Sheria inasemaje kuhusu mtumishi ambaye ni mwalimu mkuu kutembea na mke wa mtu mwalimu wanafanyakazi shule moja
kuna rape hapo kama amelazimishwa kufanya naye ngono ili apate favour. cha muhimu ni kwamba, huyo mke anafanya mapenzi naye kwa hiari au bila hiari. kama anafanya kwa hiari, hakuna kosa.Hilo liko wazi kuwa ni kosa la jina au (Sexual harassment) hata kama wameelewana kwani huwezi jua kuwa huyo mwanamke amekubali kufanya hivyo ili apate favour fulani.
Mkuu hebu fafanua zaidi "mahusiano" sababu nishashuhudia harusi kibao za watu wa ofisi moja!!!!Sheria za utumishi na ajira zinakataza kabisa kuwa na uhusiano na mfanyakazi mwenzako ......kama imetokea hivyo nenda katoe mashitaka kwa Mkurugenzi au Afisa Elimu wa Mkoa.
icho kitabu kweli kimeongelea mambo yote ya ndoa?mwambie abofye SHERIA KWA KISWAHILI
kwa mwizi wa mke, sio kosa la jinai, ila mwenye mke anaweza kukufungulia madai umlipe fidia kulingana na vile alivyoathirika na wewe kutembea na mkewe. hii ni kwasababu, mke kama umri wake ni wa utu uzima, ni mtu mwenye maamuzi ya hiari/binafsi hivyo akichepuka inaonekana amechepuka kwa hiari yake kwani yeye sio mtoto. hakuna kosa la jinai.Sheria inasemaje kuhusu mtumishi ambaye ni mwalimu mkuu kutembea na mke wa mtu mwalimu wanafanyakazi shule moja