kutembea na mtu na kaka yake

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
suppose una mpenzi wako but hajakutambulisha kwa ndugu yake yeyote then mkaachana..ameoa kabisa
miaka imepita umekutana na ndugu yake kabisa kabisa baba mmoja mama mmoja yupo serias kabisa anakupenda na ndio mwanaume at least anakufurahisha..... ndo anataka sasa akakutambulishe......utafanyeje?
yeye hajui kama x wako ni ndugu yake...
hata x wako hajui kama unamdate ndugu yake ....mliwekeana sheria marufuku kuongea kuhusu past .marufuku kuulizana mambo ya wapenzi wazamani ...oly kuangalia wakati uliopo na mbeleni
wewe tu ndo unajua na ulijua from the begining kabisa ..sema ukakausha penzi likakua na kukua na mwanaume kweli anakupenda kiukweli ilo lipo wazi sio mtapeli kama hao wazushi wengine to hell with them...

please usitukane hapa nimeokoka siku hizi
 
Kwa utamaduni wetu halitakuwa jambo la busara na hasa ukizingatia kuwa ulikuwa unafahamu fika mahusiano kati ya hao wanandugu. Nadhani hata kama umempenda kiasi gani si vema kuwa na mahusiano ya aina hiyo kwani zao lake huwa ni mtafaruku kwa wanafamilia hao ikiwa ni pamoja na usumbufu unaoweza kujitokeza toka kwa huyo x friend.

Fanya chaguo ambalo kimsingi hautaweza kujutia siku za mbele. GO BLESS U ON UR WAY TO FIND THE ONE AND ONLY HUSBAND/WIFE TO BE
 
smile listen to ypur heart, kikubwa u dont double them! ila its the right tym uwe wazi, mwambie mapema ili aamue what to do, but am sure kama anakupenda kiukweli hatazungusha, coz phase ya ndugu yake ilishapita, now its his turn.
 
Kimsingi sioni kama kuna ubaya wowote. Kidogo kungekuwa na kigugumizi kama ungekuwa ulishazaa na huyo ndugu yake.

Tatizo ni kuwa hujawa wazi kwa huyo mdogo mtu kuwa 'ulishamvulia' kaka yake. Sasa hili linaweza kuwa tatizo kubwa kama mdogo mtu akijakujua baadae kuwa uliwahi kuhusiana na kaka yake....na hasa akilijua hilo kupitia kwa watu wengine.
 
Mwambie ukweli uone atasemaje. Kama yeye na wewe wote hamuoni tatizo muendelee.
 
smile listen to ypur heart, kikubwa u dont double them! ila its the right tym uwe wazi, mwambie mapema ili aamue what to do, but am sure kama anakupenda kiukweli hatazungusha, coz phase ya ndugu yake ilishapita, now its his turn.

linda moyo wako kuliko vyote ulingavyo snce ndo chemi chemi ya uovu wote.moyo huwa mdanganyifu na un ugonjwa wa kufisha!!!!
 
Mapenzi huambatana na wivu, busara ni kuongea na huyo mwenzi wa sasa ili upate mawazo yake maana ndiye pekee anaweka kuwa muathirika kama lolote baya litatokea.
 
Smile umenikumbusha kisa cha my two bros.
Kaka yangu mkubwa ni shy, si mtongojazi sana. Alienda kumvisit mdogo wake my other bro aliyekuwa kwenye lililokuwa jimbo la Rostam. So my bro akamtoa big bro, wakaenda disco back then. My bro ambaye ni mwenyeji yeye ni player, so akamwambia kaka yake, just point at any girl utaondoka naye.

So kaka yangu akapick a gal na tru my player bro akaunganisha big bro akaspend nite na yule shori. Then likizo ya big bro ikaisha akarudi chuo. My player bro, akampitia tena yule shori just for the sake of it (he was a player remember). Akaja akapata matatizo kazini akakimbia, we didnt here from him kwa miaka kama minne hivi. Huku nyuma my shy big brother akarudi kumtafuta yule shori; na ndiye mke wake mpaka sasa.

My bro alivyokuja kugundua kuwa yule dada ndiye shemeji yake aliumia sana; akasema l wish angeniambia intentions zake. So my big bro never knew anything.


Back to you junior sis, angalia kama uko comfortable halafu ongea na EX wako muulize kama naye yu confortable; then you dont need to tell ur knew bro, kwani atakuwa siku zote na hisia kwamba mwaweza kumbushia. Kikubwa ni kupunguza ukaribu na huyo Ex wako once you join the family.
 
usiongee kuhusu x halimuhusu ana maisha yake ...
 
Mi huwa natembea na mama yangu siku za jumapili wakati wa kwenda kanisani.

Kwanini hao wasitembee?
 
my revenge will start from there.....
 
chagua fanya kitu ile roho inapenda,maisha yenyewe mafupi
 
smile listen to ypur heart, kikubwa u dont double them! ila its the right tym uwe wazi, mwambie mapema ili aamue what to do, but am sure kama anakupenda kiukweli hatazungusha, coz phase ya ndugu yake ilishapita, now its his turn.
si nilishamwambia niliachwa kwani lazima utaje ni flani?
 
my revenge will start from there.....

Revenge ya nini sasa? Do u still have grudges about ur X? Nahisi waweza tumia nguvu na muda mwingi kwenye revenge kuliko kunurse ur knew found love!
 
si nilishamwambia niliachwa kwani lazima utaje ni flani?
huo sasa moto unaoutaka ukuwakie, tena wa petrol! wale ni ndugu kumbuka, they share blood, wamekua wote, kimpatacho kaka mtu, mdogo mtu huwa concerned, mwambie dont hide, atakapokuja kujua, atakumwaga mazimaaaaa! na ndio ubaya na ubovu wetu walio wengi, huwa ni ngumu sana kufunguka toka mwanzo, its beter kuwa wazi mapema!
 
Revenge ya nini sasa? Do u still have grudges about ur X? Nahisi waweza tumia nguvu na muda mwingi kwenye revenge kuliko kunurse ur knew found love!
just wait ..and see my dear..
 

mh!!!!!!asubuhi ya j4 we unawaza mapenzi!!!!!huchoki?mapenzi hayana mwisho yalikuwepo tangu Adam na Hawa,na leo yamekuwepo mpaka Adam Malima na mnyarwanda wake aliyemuibia,kesho ni mimi na wewe,na yataendelea,fanya kazi wewe,ningojetuje tukutane nikupagawishe!!!!!!!
 
kwani kuna shida gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…