wewe umefata nini hapamh!!!!!!asubuhi ya j4 we unawaza mapenzi!!!!!huchoki?mapenzi hayana mwisho yalikuwepo tangu Adam na Hawa,na leo yamekuwepo mpaka Adam Malima na mnyarwanda wake aliyemuibia,kesho ni mimi na wewe,na yataendelea,fanya kazi wewe,ningojetuje tukutane nikupagawishe!!!!!!!
my revenge will start from there.....
watajiju hawanihusu kabisa haoNi busara sana kama utaamua kusitisha mahusiano kwani mapenzi ni kitu cha ajabu sana, kama huyo X wako miliachana kwa wema iko siku mtashawishika kukumbushia tayari utakuwa ni usaliti, na kama mliachana vibaya kwa njia moja au nyingine mnaweza jikuta mnasimamia kulipiziana visasi kama si wewe basi ni huyo X wako. mwisho endapo itatokea ataekuwa mumeo au mke wa huyo X wako akajua unadhani nini kitatokea?
TAFAKARI.
wewe umefata nini hapa
Mwaka 2006 nilitokea kumpenda kaka mmoja,na mdogo wake ndo alikua
akinitongoza sana.
Ila baada ya mda niliye mpenda alianza kunitongoza pia,kwakua nilikua
sija mkubalia dogo (na nisinge mkubalia),nilimkubali jamaa.
Dogo hakujisikia vizuri,you can imagine tulikua majirani tu.
Kulikua na kuto kuelewana kidogo,lakini after a while mambo yalienda vyema.
Dogo ni shemeji + rafiki yangu,na jamaa nipo nae hadi leo miaka 6 sasa.
All is well.
Ila kama uliwahi sex na ndugu mtu mmmmh,sio vizuri.
Miaka 6 mpaka leo una do tu!!!Kuwa na malengo wewe!!!!jenga familia
umetumwa sio bureSmile,jaman Smile weye!!!!Haya bana!!!nimekuwa nisubiri punguza pressure,huyo atakumwaga tu!!!!Maana atakuwa tayari kaka nae awe anakumbushia mara moja moja!!!!Nisubiri!!!!Fanya kazi sa hizi!!!!tukutane wote safi mapenzi yawe matamu!!!
kwani malengo maana yake nini hadi ufikirie sina malengo?
Mapenzi huambatana na wivu, busara ni kuongea na huyo mwenzi wa sasa ili upate mawazo yake maana ndiye pekee anaweka kuwa muathirika kama lolote baya litatokea.
mwenzangu nataka kukuepusha na shari, before its too late, ila we ndio unamjua huyo mtu wako alivyo, siwezi sema mengi! but the way i knw guys kwa issue kubwa kama hivyo, ni bora umwambie mapema , the earlier the better smile kha!kwani kuna shida gani ?
na huyu jamaa ni wa hatyo yote god bless himUpendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno. Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hau tafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahim ili yote. Upendo hauna mwisho.
wapi imeandikwa mkuu?