kutembea na mtu na kaka yake

[please usitukane hapa nimeokoka siku hizi[/QUOTE]

Hongera kubwa kwa hiyo hatua hapo kwa red!
 
hii ni falisafa yangu usisubutu kuiamini wala kumfundisha mwingine,,iwe siri yako,,,kitu chochote huwa dhambi,,kuwa kituko na kutengeneza laana kama,,kikijulikana na kumakwa na watu,,,,zaidi ya watatu,,nje ya hapo halua,,,isingekua hivyo,,duniani sote mahayawan,,,take it from mimi mwenyewe,,,,,,,,,,tafakari
 
Huo uhusiano haufai kwa vile ulishatembea na kaka mtu. Ipo siku mtakumbushia na EX wako, mtanogewa, na mmeo atagundua. Itakuwa kilio na kusaga meno
 
Kuna mdada mmoja aliteta uzi kama huu ukajadiliwa, akapata mawazo hapa, akachanganya na zake then akarudi kutupa na feedback kabisa ya reaction ya mhusika baada ya kuambiwa ukweli. Dark City kama unakumbuka ile thread unaweza kumpa Smile, maana ulimwaga mapoint mle.
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli mie nimesoma na sijakuelewa vizuri yaani kukupata, maana umeweka present tense HAJUI UNAMDATE NDUGU YAKE sasa wewe unaelezea kuwa hamkuachana na huyo ndugu sijui nini. sijui ni lugha umekosea kuandika au?
 

Sikumbumki huo uzi kaka, ila kwa maelezo ya Smile, uamuzi utategemea mhusika mwenyewe. Kuna makabila ambayo shemeji ni chakula halali...Naamini Smile hatoki kwenye hayo makabila ndiyo maana anaona hili kama kikwazo.

Kwangu mie hata kama huyo GF akinambia sitakuwa na neno ili mradi ahakikishe hatakaa arudi kwenye mahame (i.e akumbushie enzi zake na huyo Ex BFwake)!!

Babu DC!!
 
Lakini Avator yako haijaokoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…