...naam, naam...ila wengine au mimi labda nimejaaliwa roho ya ubishi...hata nitendwe vipi bado nakaji reserve ka kumpenda mwingine...maisha yenyewe mafupi haya, acha tu nitupe karata yangu kumpenda nimpendae,...
...ikitokezea siku naye akanitenda sitaona ajabu sana...maana naamini kabisaa hataweza nitenda kama huyo aliyepita, labda anitoe roho yangu...
...naam, naam...ila wengine au mimi labda nimejaaliwa roho ya ubishi...hata nitendwe vipi bado nakaji reserve ka kumpenda mwingine...maisha yenyewe mafupi haya, acha tu nitupe karata yangu kumpenda nimpendae,...
...ikitokezea siku naye akanitenda sitaona ajabu sana...maana naamini kabisaa hataweza nitenda kama huyo aliyepita, labda anitoe roho yangu...[labda hapa nitakubaliana nawe---less painful- heartbreak ikishazoeleka japo i doubt!]
Mbu kupenda raha..... Hivo nimekupata..... Yaani people just don't know what they miss...... Hasa ukipendwa nawe, hata ikiwa brief it is worth it!!!
Labda niwalaunu wanasayansi AshaDii, maana pamoja na juhudi zao zote hawajawahi kutengeneza kipima-upendo. Kingekuwepo ambacho naweka kwapani mwa mwenzangu kama kipima-joto, then nasoma degrees, ingekuwa safi sana. lakini kwa bahati mbaya binadamu kaumbiwa na moyo wa maigizo, leo mweupe kesho mwekundu, kesho kutwa samawati...
na kuwa mature ndio unatakiwa u fall in love more carefully... sio kichwa, na kiwiliwili, na mikono na miguu...
Mbu kupenda raha..... Hivo nimekupata..... Yaani people just don't know what they miss...... Hasa ukipendwa nawe, hata ikiwa brief it is worth it!!!
Ahsante mkuu kwa kunielewa...
Hapana Tuko... Kuna vitu ambavo vyahitaji kipimo kujua Ukweli... lakini sio katika Mapenzi.... Mapenzi hutujenga kwa mambo mengi saana, yaweza kukumaliza kabisa... yaweza kuku rejuvinate... yaweza kukuzeesha ama ukasikia uko young tena... yaweza kukufanya mambo mengi saana for the simple reason kua Umependa na pia labda umehisi kupendwa..... Ile the excitement... anticipation.... euphoria.... na intensive feelings zoote wasikia na ukikaa ukajiuliza vizuri ama uambiwe apa kusema the other is feeling the same way; deep down you know yeye yaweza kua less but it does not matter!!
...lol,...haya bana, umenikumbushia machungu mpaka nimekukubalia usemi wako...
poa lakini...
AshaDii nakubaliana sna na maneno yako, hasa observation uliyotoa (blue), lakini conclusion yake mama nimeihofia sana... Hivi huajwahi kuona watu wamajiua, au kufeli masoma, au kufukuzwa kazi, au kuwa kilema, au kuishia jela, au kunyongwa, au, au, au au x 1000 kwa sababu tu hawakuwa wamejijengea immunity na hiyo hali ya "yaweza yeye kuwa less"?!!!
True that u get used to it
Mi naona nishazeeka sijui nilitendwa mara moja tu maishani mwangu, toka hapo wala sishtuki yaani ukishaanza kuleta za kuleta sina muda wa kukufikiria mara mbili mbili.
Mi naona nishazeeka sijui nilitendwa mara moja tu maishani mwangu, toka hapo wala sishtuki yaani ukishaanza kuleta za kuleta sina muda wa kukufikiria mara mbili mbili.
Amini usiamina Maty... unakua bado hujapenda... believe me you....
Hiyo ni kwa sababu automatically utakuwa umekwisha adjust expectations zako....!This is fact. The more you get used to "kutendwa", the less painful it becomes...
AD nilivyomwelewa maty anakuwa amependa lkn kwa kuwa alishapata jeraha anakuwa sensitive zaidi hivyo akiona dalili za hatari anachukua tahadhari mapema kabla haijawa mbaya zaidi...