Kutendwa mara ya kwanza kunauma zaidi...

Waungwana kutendwa hakuzoeleki kbs hata kama iwe mara ya 100,kama kweli unakuwa upenda kwa that ya oyo kamwe ukiumizwa hutoacha kuumia na maumivu yake wala hayafanani na mengine yoyote,hasa kwa wale wenzangu na mie tusiojua kupenda nusu au ile kupretend ndio basi tena kila ukitendwa inakuwa afadhali na iliyopita!Jamani kuwen wakweli sio vizuri kuliza liza wenzenu kila wakati!
 

Ni wachache sana wakweli mpenzi si wanaume si wanawake, unakuta huyu anatendwa huku na yeye anaenda mtenda mwingine basi ni mzunguko tu, mi kwa upande wangu nishaukata mshipa wa kumpenda kiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiile mtoto wa mwanamke mwenzangu, maisha yenyewe yalivyo mafupi hivi. Ndio maana nasema labda nishazeeka
 
Ni wachache sana wakweli mpenzi si wanaume si wanawake, unakuta huyu anatendwa huku na yeye anaenda mtenda mwingine basi ni mzunguko tu, mi kwa upande wangu nishaukata mshipa wa kumpenda kiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiile mtoto wa mwanamke mwenzangu.
Maty, uliukatia wapi aisee...?
 

hahahahahahaaaaaaaaaa! kwanza lazima ujue kuwa wanawake wote ni waongo kama ilivyo kwa wanaume. Hivi mtu unamkuta ile nanii ishatolewa zamani na uzuri anakwambia alikuwa na mtu ila wameachna, then we unaamini mazima kwamba atakuwa wako pekee, we si mwehu tu. Weka % asilimia fulani hivi ya uongo, from there utakuwa na amani maana utaishi ukujua inawezekana cheating ikatokea.

afterall uongo ni sehemu ya mapenzi pia, sasa kwanini uamini hiyo kitu haipo?
 
Wala hujazeeka mwaya,ulichokifanya ni maamuzi ya ndani ambayo nakuhakikishia siku ya kukutana na yule uliyekuwa ukimuota ndoton cku zote ndugu yangu utajiona chizi na kuyasahau na kamwe hutakumbuka sijui kuna kupenda kwa namna ipi utazama mzima mzima, omba mungu asikuzingue akizingua ndio tunarudi palepale kwenye maumivu!
 
Napendekeza majina yawe yanaonyesha na jinsia ya mtu wanajf, maana juzi kati nilimdhalilisha mtu kwa kumuita kaka kumbe yeye ni dada. Nashindwa kujiby baadhi ya kamba humu kwa kuhofia kumdhalilisha mtu humu. At least baada ya jina kuwe na herufi M-mwanume au F0mwanamke, vinginevyo tunashindwa kujibu kwa ufasaha
 

Unaweza kutumia neno kama 'mkuu' mkuu... linakata kotekote...
 

na utamu wa mapenzi kuwe na 'kauwongo'...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…