Kutengeneza fedha kwa njia ya mtandao, kwa aliyethibitisha au nisaidieni nithibitishe

Kutengeneza fedha kwa njia ya mtandao, kwa aliyethibitisha au nisaidieni nithibitishe

Reverend

New Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Jamani kiukwelii bado sijapata hela...ila hawa jamaa wanasema mtu anaweza kutengeneza pesa kwa njia ya kuwakaribisha watu watembeleee mtandao wao( how to make money, through website trafficking...)
iam in process to prove it...just help me to prove it by clicking the following link http://moneytreet.com/?invite=18090, halafu na wewe endelea kuinvite watu wengine baaada ya kufungua account kwao
 
Acha uzembe wewe. Kuna hela za rahisi hivyo dunia hii.Kafanye kazi wewe.
 
Ni kweli account yako kwenye Huo mtandao itakuwa na pesa ila kutoa utatumiwa ujumbe utume pesa ya ku process waweze kutuma hizo pesa,ukituma tu movie inaishia hapo hapo na mkubwa wa maadui wewe unalia,sterling hauawi anazidi kutoa movie
 
Back
Top Bottom