Kutengeneza vitambulisho vya plastiki

Kutengeneza vitambulisho vya plastiki

tired

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
107
Reaction score
23
Salama Wakuu.

Nataka kuanza hii shughuli ya Utengenezaji wa vitambulisho vya Plastiki. Sasa nataka kujua

A. Vifaa vinavyo tumika mfano Printa, Cutting
machine etc
B. Software inayotumika

C. Plastiki za kuprinti

D. Upatikanaji wa hivyo vifaa hapa Tanzania

karibuni
 
Back
Top Bottom