CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Wanasheria tunaomba msaada. Hivi ni utaratibu gani unatumika kubadili sheria kama ya fao la kujitoa. Kabaka katangaza bungeni na SSRA wametoa taarifa magazetini. unatengua sheria ya bunge kwa kutangaza magazetini na bungeni au bunge ndilo linatengua