C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,357 Reaction score 6,424 Nov 1, 2012 #1 Wanasheria tunaomba msaada. Hivi ni utaratibu gani unatumika kubadili sheria kama ya fao la kujitoa. Kabaka katangaza bungeni na SSRA wametoa taarifa magazetini. unatengua sheria ya bunge kwa kutangaza magazetini na bungeni au bunge ndilo linatengua
Wanasheria tunaomba msaada. Hivi ni utaratibu gani unatumika kubadili sheria kama ya fao la kujitoa. Kabaka katangaza bungeni na SSRA wametoa taarifa magazetini. unatengua sheria ya bunge kwa kutangaza magazetini na bungeni au bunge ndilo linatengua