Kuthibiti dola

Kuthibiti dola

ofisa

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2011
Posts
4,340
Reaction score
4,069
Serikali imeonyesha kufaulu kwenye kuidhibiti dola ya marekani lakini tunaona uchawi wetu wa kiafrika bado upo. Kuna taasisi nchini tena wapo chini ya serikali bado wana rate kwa dola na wana taka ulipe kwa dola.

Naona muheshimiwa Rais ana dhamira ila baadhi ya taasisi hazimuungi mkono kwa ubunifu wao kiutendaji wanasubiri aseme.

Nilitegemea BOT ingepiga marufuku matumizi ya dola kwenye matumizi ya kawaida ya ndani kama upangishaji wa nyumba (real estate )zibakie zile za biashara nje ya nchi tu.

Ni mtazamo wangu lakini nina furaha shilingi kwa muda mrefu imesimama 2200 dhidi ya dolla ila tunao uwezo wa kuishusha zaidi.

PAMOJA TUNASONGA MBELE.
 
Serikali imeonyesha kufaulu kwenye kuidhibiti dola ya marekani lakini tunaona uchawi wetu wa kiafrika bado upo.Kuna taasisi nchini tena wapo chini ya serikali bado wana rate kwa dola na wana taka ulipe kwa dola.
Naona muheshimiwa Rais ana dhamira ila baadhi ya taasisi hazimuungi mkono kwa ubunifu wao kiutendaji wanasubiri aseme.
Nilitegemea BOT ingepiga marufuku matumizi ya dola kwenye matumizi ya kawaida ya ndani kama upangishaji wa nyumba (real estate )zibakie zile za biashara nje ya nchi tu.
Ni mtazamo wangu lakini nina furaha shilingi kwa muda mrefu imesimama 2200 dhidi ya dolla ila tunao uwezo wa kuishusha zaidi.
PAMOJA TUNASONGA MBELE.
ni kwamba dola imeshuka thamani?
 
Unataka mdhibiti matumizi ya dola wakati huo uchumi wenu unajifia, hakuna uzalishaji wa maana unaofanyika, mpaka tissue mnaagiza. Hivyo vitu nnavyo import unajua ni kwa aslimia ngapi manunuzi yake yanfanywa kwa dola?

Kwa nchi maskini kama hii ukitaka kudhibiti matumizi ya dola ni uwendowazimu labda kama mna mpango wa kuwa na closed economy.
 
Siri-kali gani imefaulu, hii hii ya magu au nyingine??

Halafu, huu uzi ungeweka kule jukwaa la siasa
 
Back
Top Bottom