....Kuthubutu!

Kwangu ni mara mbili na nilikuwa najiamini !00%. Mara ya kwanza ilikuwa "huyu ndie ......... hakuna mwengine" na mara ya pili "huyu ndie ......... anafaa kumsaidia mwenziwe"
 
Reactions: Mbu
....kila mtu anakwepa swali, duhh? Au mlitaka niwaulize mmewapendea "SIFA" gani kuu hao wenza wenu, (waliokuwa wenza wenu---kabla ya 'ujane'...iwe mwanaume/mwanamke)

...mwanajamiiOne, Chauro, king'asti....fungukeni!
 
Hahaaa Mbu subiri kwanza nijisheheni rubisi maana naweza ambulia mangumi ya uso lol!

....kila mtu anakwepa swali, duhh? Au mlitaka niwaulize mmewapendea "SIFA" gani kuu hao wenza wenu, (waliokuwa wenza wenu---kabla ya 'ujane'...iwe mwanaume/mwanamke)

...mwanajamiiOne, Chauro, king'asti....fungukeni!
 
Reactions: Mbu
....kila mtu anakwepa swali, duhh? Au mlitaka niwaulize mmewapendea "SIFA" gani kuu hao wenza wenu, (waliokuwa wenza wenu---kabla ya 'ujane'...iwe mwanaume/mwanamke)

...mwanajamiiOne, Chauro, king'asti....fungukeni!

Hahhahha Mbu umeshikia Bango aisee.................Mie ntafunguka.

Kwa ex wangu ninakiri niliathiriwa na peer group................... at that tender age, kila rafiki alonizunguka alikuwa ameolewa (sikuwa na marafiki wengi thou na sina tabia ya kuwa na marafiki). So siku alipopropose kuoa (tena nakumbuka ilikuwa through simu) nilijikuta nashift....from asking myself whether he is the right man to I am a well brought up gal so atanipenda; I have experience from my Mama's marriage so nina uwezo wa kuvumilia lolote. Nikajikuta nasema YES na kuanza kudesign my wedding gown (Oh yeah I did my own designing aisee)!!

You see what I mean?? But I do not regreat it kwa sababu it has become my eye openner aisee!
 
Hahahaha....mwanajamiiOne ewe soulmate, ndio wataka nambia wewe ulithubutu kwakuwa tu alikuwa the 1st to propose?

Aisee....hebu funguka bana. Unaposema kwa simu, ulichovutiwa ni lile bass, au sauti ya kubembeleza?...
 
Alikuwa anamendewa sana na limjamaa lenye fedha zake. Alivolipiga chini mbele yangu na kunitambulisha kwake kuwa mi ni fiancee wake (japo haikuwa kweli) nilipata mhemko. Haikupita muda sana nikapropose marriage unajua nlijibiwaje?

Duuuhh, mkuu tiririka! 😀 ....enhe?
Wewe ulithubutu sababu ya "kukupaisha mtaani?" Haha...
 
Hahahaha....mwanajamiiOne ewe soulmate, ndio wataka nambia wewe ulithubutu kwakuwa tu alikuwa the 1st to propose?

Aisee....hebu funguka bana. Unaposema kwa simu, ulichovutiwa ni lile bass, au sauti ya kubembeleza?...

Haha hapana Mbu si kwamba ilikuwa mara ya kwanza no. na si kuwa tulikuwa hatujaonana no. Nimesema kwa simu kuonyesha jinsi ambavyo haikuwa that important kwake dah!!

.........Nadhani I was worried na umri (ingawa bado I was at my tender age aisee)
 
Reactions: Mbu
Mbu mie nilimpenda sababu aliikuwa very smart yaani nikimuona tu roho kwatu na sura alikuwa nayo ha ha ha usiniulize zaidi bana kha!!!!!

....😀 ...."alikuwa smart"...."sura alikuwa nayo!".....mnh! funguka DA...funguka....ulithubutu, ukatenda! halafu?
 
tatizo ni kuwa sio wote wana pata hizo option...
na ndo maana ndo nyiingi zinatokea ili tu kutimiza lengo fulani..
ndo maana matatizo hayaishi still...
 
Reactions: Mbu

umeona?
na mtu wa nje anaweza kutazama akasema 'ndoa yao ni ya mfano'
kumbe hajui kilichopo...
na usikute huyo ndugu yako sometimes hujisifia
'niko kwenye ndoa mwaka wa kumi huu' huku ukweli anaujua mwenyewe
na walioshindwa ndoa zao humuonea wivu labda lol
 
Reactions: Mbu
sidhani kama nimeelewa natakiwa sema nini. Ngoja niendelee ssoma komenti za wengine tu.
 
Reactions: Mbu
kumbe unataka jua nimempendea nini?

He's a man of his word, pure an african man kitabia.

....kila mtu anakwepa swali, duhh? Au mlitaka niwaulize mmewapendea "SIFA" gani kuu hao wenza wenu, (waliokuwa wenza wenu---kabla ya 'ujane'...iwe mwanaume/mwanamke)

...mwanajamiiOne, Chauro, king'asti....fungukeni!
 
Reactions: Mbu
Smile, wewe unahitaji maombi ya ukombozi. Uje na kanguruwe ama kambuzi tufanye sadaka ya kuteketeza. Mkaa najitolea.
King'asti my dada....mi nakuunga mkono, sasa kimila kwetu mi ndo ntajitolea kuchinja, tuwaombe wazee aisee! kha!
 
Last edited by a moderator:
na mnyama anayetakiwa kutolewa sadaka unaye?

Tena asiteketezwe ila awekwe kwenye kiungo cha binti huyu kwa masaa matatu.

Mnyama huyo anatakiwa awe agressive asione huruma, basi pepo litamtoka kabisa.

Zikikaa siku nyingi zinaleta pepo.

King'asti my dada....mi nakuunga mkono, sasa kimila kwetu mi ndo ntajitolea kuchinja, tuwaombe wazee aisee! kha!
 
Last edited by a moderator:
Nakuja sasahivi ngoja kwanza nifanye calculation ya %
 
Alikuwa anamendewa sana na limjamaa lenye fedha zake. Alivolipiga chini mbele yangu na kunitambulisha kwake kuwa mi ni fiancee wake (japo haikuwa kweli) nilipata mhemko. Haikupita muda sana nikapropose marriage unajua nlijibiwaje?

ulijibiwaje???????
 
Tupe majibu hayo mkuu,tunayasubiria! Am smelling a wonderful and lovely story out of those answers...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…