Kutia nguzo kwenye nyumba

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
Wakuu habari zenu na poleni kwa majukumu,

Kuna kitu nimekiskiia na kinafanyika kwenye ujenzi wa nyumba kwa hivyo naomba msaada wenu ili nipate uhakika najua kuna wataalam wengi humu.

Kitu chenyewe ni kwamba nina nyumba yangu ya chini ambayo ninaishi miaka mingi tu. Ila limenijia wazo kuibandisha juu iwe ya ghorofa moja.

Hiyo nyumba yangu ya chini ina vyuma vinne ..lakini nikipandisha juu nataka kuweka vyumba viliwi viwe master, jiko na sebule

Je, wakuu inawezekana kuipandisha juu hiyo nyumba?

Je, hiyo gharama ya kuweka nguzo ni kumbwa sana?

Na naweza kupata makisio kidogo ya fedha ambayo inaweza ikatumika..kuweka hizo nguzo na kumwanga zege juu.

Shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…